ARSENAL, CHELSEA, MAN UNITED KUANZIA NYUMBANI LIGI KUU 2015-16
Ligi Kuu England inaanza kutimua vumbi Mei 8,
kazi ngumu kwa kila timu na furaha na raha kwa mashabiki.
Mechi za ufunguzi, vigogo Arsenal, Chelsea, Man
United wote wataanzia nyumbani.
Liverpool, Man City na Spurs wao watakuwa
ugenini. Kikubwa kila mmoja atakuwa akisaka pointi tatu.
Hata wiki ya pili
ambayo itakuwa ni Mei 15, vigogo hao watatu watendelea kubaki nyumbani
wakisaka pointi nyingine tatu muhimu. Angalia.
MEI 8:
Bournemouth vs Aston Villa
Arsenal vs West Ham United
Chelsea vs Swansea City
Everton vs Watford
Leicester City vs Sunderland
Manchester United vs Tottenham Hotspur
Newcastle United vs Southampton
Norwich City vs Crystal Palace
Stoke City vs Liverpool
West Bromwich Albion vs Manchester City
MEI 15:
Arsenal vs Aston Villa
Chelsea vs Leicester City
Everton vs Norwich City
Manchester United vs Bournemouth
Newcastle United vs Tottenham Hotspur
Southampton vs Crystal Palace
Stoke City vs West Ham United
Swansea City vs Manchester City
Watford vs Sunderland
West Bromwich Albion vs Liverpool
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni