Nyota
wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ameendelea kufurahia maisha ya likizo
huko Bahama akiwa pamoja na mtoto wake mwenye umri wa miaka mitano baada
ya kuitumikia klabu ya kwa msimu mzima pamoja na timu yake ya taifa ya
Ureno.
Mtoto
wa Ronaldo amekuwa kivutio kikubwa huko kwenye maeneo ya beach ya
Bahama kwa kuonesha uweo mkubwa wa kusakata kabumbu na kuwashawishi watu
kusema huenda akawa na kipaji kikubwa kwenye mchezo wa soka kama baba
yake (Cristiano Ronaldo).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni