tecno

tecno

airtel

airtel

.

.

nido

nido

RADIO LISTEN NOW

28 Juni 2015

TETESI ZINASEMA CHELSEA IMEPATA SAINI YA MCHEZAJI  KUTOKA BRAZIL ALIYEKUA ANAWINDWA NA BARCELONA NA MAN UTD


KK 

 KK
Japokua club yake haijaweka wazi wapi anapoeleka, lakini wamesema kwamba mchezaji wao Robert Kenedy Nunes do Nascimento au kwa kifupi Kenedy ameshanunuliwa na timu nyingine kutoka Ulaya.
Mchezaji huyo ambae anaonekana kuwa na future kubwa kwenye ulimwengu wa soka ndio kwanza ana miaka 19 na club za Barcelona na Manchester united tayari walishaonyesha interest ya kumtaka.
Ripoti za ndani na zinasema kwamba mchezaji huyu amesaini kucheza na club ya Chelsea. Kama ni hivyo basi atajiunga na wabrazil wenzake kama Willian, Oscar, Filipe Luis, Diego Costa

Hakuna maoni: