VAN GAAL AGEUKA BUBU ISHU YA DAVID DE GEA
Ripoti ya gazeti la AS inasema
United wanataka dau la Euro milioni 46 kumuachia golikipa huyo wa
zamani wa Atletico Madrid, wakati Marca wao wanasema klabu hiyo ya
England itakubali Euro milioni 40.
Akizungumza na Spanish TV, Van
Gaal amesema: “Sitaki kuzungumzia ishu hii kupitia vyombo vya habari.
Nitazungumza na wakurugenzi wangu, sio vyombo vya habari”.
Ripoti zinaeleza kwamba United
wanajaribu kubadilishana na Sergio Ramos, lakini vyanzo vya habari
vinasema Real Madrid hawako tayari kumhusisha mlinzi huyo wa kati.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni