tecno

tecno

airtel

airtel

.

.

nido

nido

RADIO LISTEN NOW

22 Julai 2015

DILI LA MULLER KWENDA MAN UNITED NDIO BASI TENA

1396012_heroa
Baada ya tetesi za muda kwamba Manchester united wanataka kumsajili mchezaji mwingine wa Bayern Munich “Muller” kwa kiasi cha €100 million, hivi sasa zimetupiliwa mbali na CEO wa club hiyo.
CEO wa Bayern Munich Karl-Heinz Rummenigge ambae kwa sasa yupo China aliulozwa kuhusu tetesi za kutakiwa kwa mchezaji huyo. CEO huyo alikanusha na kusema kwamba hilo jaribio lilikua ni kama kutaka “bata avuke bahari akiwa anaruka” kitu ambacho akiwezekani.
Manchester wanatafuta striker mwingine lakini jaribi la kumpata mchezaji huyu tayari limeshakanushwa na Karl-Heinz Rummenigge.

Hakuna maoni: