HIZI NI PICHA ZA MKONGWE ADREA PIRLO MAZOEZINI KWA MARA YA KWANZA NEW YORK CITY F.C
Baada ya kwenda Italy na kuwaaga wachezaji wenzake kwenye uwanja wa mazoezi, Andrea Pirlo ameanza rasmi mazoezi kwenye club yake mpya huko Marekani.
Akiwa uwanjani ameungana na nyota wengine kama David Villa ambae pia ni mchezaji wa club hiyo. Frank Lampard hakuwepo siku hiyo kutokana na kuwa na maumivu kwenye kigimbi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni