MANCHESTER CITY WAZIFANYIA ‘UHUNI’ INDIVIDUAL HIGHLIGHTS ZA RAHEEM STERLING DHIDI YA ROMA
Baada ya kutua Manchester City
kutokea Liverpool, Raheem Sterling jana alicheza mechi yake ya kwanza
katika michuano ya International Champions Cup dhidi ya AS Roma.
Sterling ameanza vizuri kwani alifunga goli ndani ya dakika tatu.
Leo chaneli ya You Tube ya Manchester City imetoa video inayoonesha Individual Highlights za Sterling katika uwanja wa Melbourne.
Kitu cha kushangaza, City hawajaweka kipande kile ambacho
Sterling alikanyaga mpira juu na kuanguka wakati akijaribu kukokota
mpira kumtoka beki wa Roma kabla ya kufunga goli.Sterling ameanza vizuri kwani alifunga goli ndani ya dakika tatu.
Leo chaneli ya You Tube ya Manchester City imetoa video inayoonesha Individual Highlights za Sterling katika uwanja wa Melbourne.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni