HIZI NDIO SABABU ZILIZOKWAMISHA DE GEA KUHAMIA MADRID
De Gea alikuwa akiamni kwamba,
ndoto zake zimetimia za kuhamia Madrid kufuatia miamba hiyo ya La Liga
kuvunja ukimya na kuikatia Man U kitita cha pauni milioni 29 jana
(Jumatatu) mchana. Golikipa wa Madrid Keylor Navas pia alikuwa sehemu ya
dili hilo ambapo angejiunga na Manchester kama sehemu ya usajilin wa De
Gea.
- Chanzo kutoka Real Madri kinasema kwamba, Madrid wanailaumu Manchester United kwa kushindwa kutuma doments sahihi kwenda LFP shirikisho la soka la Hispania jana usiku.
- United wamekanusha madai hayo wakisema kuwa, walipata uhakika kuwa document zao zimetumwa kwa wakati muafaka unaotambuliwa na FIFA.
- Uongozi wa LFP unasema United walizijaza document hizo kwa mfumo ambao mtu mwingine asingeweza kuzifungua.
- Klabu zote zinataka dili hilo likamilishwe na zinatarajia leo (Jumanne) kukata rufaa kwenye shirikisho la soka duniani FIFA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni