Liverpool wameendelea kucheza bila ushindi kufuatia leo kutoka sare ya kufungana kwa goli 1-1 na timu ya Norwich City kwenye uwanja wa Anfield. Liverpool ndio walikuwa wa kwanza kupata goli kupitia kwa Danny Ings kabla ya Russell Martin hajaisawazishia Norwich City.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni