Hat Trick ya Sergio Aguero imeifanya Manchester City kuondoka na point 3 darajani..
Mchezo wa Chelsea dhidi ya Manchester City ndio mchezo uliokuwa unasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka, kwani ulikuwa unahusisha timu kubwa za Ligi Kuu Uingereza kwa siku ya April 16 2016. Mchezo ulimalizika kwa Manchester city kuibuka na ushindi wa goli 3-0. Magoli ya Manchester city yalifungwa na Sergio Aguero dakika ya 33, 54, na 81 na kumfanya Sergio Aguero kufunga Hat Trick kwenye mchezo huo.
Mechi zingine zilizopigwa leo April 16 2016
Norwich City 0-3 Sunderland
Everton 1-1 Southampton
Manchester United 1-0 Aston Villa
Newcastle United 3-0 Swansea City
West Bromwich Albion 0-1 Watford
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni