COPA AMERICA CENTENARIO: BRAZIL YANYUKA 7, PHILIPPE COUNTINHO HETITRIKI!
Bao za Brazil zilifungwa kwa Hetitriki ya Philippe Coutinho, Dakika za 14, 29, 90, Renato Augusto, Bao 2 za Dakika za 35, 86, Gabriel, 59', na Lucas Lima, 67'.
Bao pekee la Haiti lilifungwa na James Mercelin Dakika ya 70.
Brazil sasa wana Pointi 4 kwa Mechi 2 wakati Haiti wametupwa nje baada ya kufungwa Mechi zao zote 2.
Mechi nyingine ya Kundi B inachezwa sasa katika ya Ecuador na Peru.
VIKOSI VILIVYOANZA:
Brazil (Mfumo 4-1-4-1): Alisson; Dani Alves, Marquinhos, Gil, Filipe Luis; Casemiro; Willian, Elias, Renato Augusto, Coutinho; Jonas
Akiba: Ganso, Lucas Lima, Gabriel, Diego Alves, Caio, Fabinho, Douglas Santos, Walace, Lucas Moura, Hulk, Grohe.
Haiti (Mfumo 5-3-2): Placide; Alcenat, Jerome, Genevois, Goreux, Jaggy; Lafrance, Marcelin, Alexandra; Louis, Belfort
Akiba: Lambese, Guerrier, Millien, Ceus, Norde, Mustivar, Aveska, Hilaire, Nazon, Maurice, Alex Junior, Odelus.
REFA: Mark Geiger [USA]
KUNDI B - MSIMAMO:
COPA AMERICA
RATIBA:
**Saa za Bongo
Jumamosi 4 Juni 2016
USA 0 Colombia 2
Costa Rica 0 Paraguay 0
Jumapili 5 Juni 2016
Haiti 0 Peru 1
Brazil 0 Ecuador 0
Jamaica 0 Venezuela 1
Jumatatu 6 Juni 2016
Mexico 3 Uruguay 1
Jumanne 7 Juni 2016
Panama 2 Bolivia 1
Argentina 2 Chile 1
Jumatano 8 Juni 2016
USA 4 Costa Rica 0
0530 Colombia v Paraguay
Alhamisi 9 Juni 2016
Brazil 7 Haiti 1
Ecuador v Peru
Ijumaa 10 Juni 2016
0230 Uruguay v Venezuela
0500 Mexico v Jamaica
Jumamosi 11 Juni 2016
0200 Chile v Bolivia
0430 Argentina v Panama
Jumapili 12 Juni 2016
0200 USA v Paraguay
0400 Colombia v Costa Rica
0130 Ecuador v Haiti
Jumatatu 13 Juni 2016
0330 Brazil v Peru
Jumanne 14 Juni 2016
0300 Mexico v Venezuela
0500 Uruguay v Jamaica
Jumatano 15 Juni 2016
0300 Chile v Panama
0500 Argentina v Bolivia
Robo Fainali
Ijumaa 17 Juni 2016
0430 Mshindi Kundi A v Mshindi wa 2 Kundi B [RF1]
Jumamosi 18 Juni 2016
0300 Mshindi Kundi B v Mshindi wa 2 Kundi A [RF2]
Jumapili 19 Juni 2016
0200 Mshindi Kundi D v Mshindi wa 2 Kundi C [RF3]
0500 Mshindi Kundi C v Mshindi wa 2 Kundi D [RF4]
NUSU FAINALI
Jumatano 22 Juni 2016
0400 Mshindi RF1 v Mshindi RF3
Alhamisi 23 Juni 2016
0300 Mshindi RF2 v Mshindi RF4
MSHINDI WA TATU
Jumapili 26 Juni 2016
0200
FAINALI
Jumatatu 27 Juni 2016
0300
+++++++++++++++++++++++++++
DONDOO MUHIMU:
-Mashindano haya Copa América Centenario ni mahsusi kusheherekea Miaka 100 ya Copa America, Mashindano ya Shirikisho la Soka la Nchi za Marekani ya Kusini, CONMEBOL, ambayo yalianzishwa Mwaka 1916.
-Hii ni mara ya kwanza kwa michuano hii kuchezwa nje ya Marekani ya Kusini.
-Haya yatakuwa ni Mashindano ya 45 kufanyika na kawaida yake hufanyika kila baada ya Miaka Minne lakini safari hii CONMEBOL na CONCACAF, Shirikisho la Soka la Nchi za Marekani ya Kaskazini, Kati na Nchi za Visiwa vya Caribbean, walikubaliana kuandaa Mashindano maalum.
-Safari hii michuano hii itakuwa na Nchi 16, badala ya 12 za kawaida, kwa kushirikisha Nchi 10 kutoka CONMEBOL na 6 za CONCACAF.
-Kawaida Mshindi wa Copa America huiwakilisha Marekani ya Kusini kwenye Mashindano ya FIFA ya Kombe la Shirikisho lakini Mshindi wa Copa América Centenario hatapewa hilo kwani Mwaka Jana Chile, wakiwa Nyumbani kwao, ndio walitwaa Copa America ya kawaida na wao ndio watashiriki Mashindano ya FIFA ya Kombe la Shirikisho Mwakani, 2017, huko Russia.
+++++++++++++++++++++++++++
**CONMEBOL:
-Argentina
-Bolivia
-Brazil
-Chile (Copa América title holders)
-Colombia
-Ecuador
-Paraguay
-Peru
-Uruguay
-Venezuela
CONCACAF
-Mexico
-USA
-Jamaica
-Costa Rica
-Haiti
-Panama
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni