tecno

tecno

airtel

airtel

.

.

nido

nido

RADIO LISTEN NOW

1 Juni 2016

COPA AMERICA CENTENARIO: KUTIMUA VUMBI WIKIENDI HII HUKO USA!

COPAAMERICA-CENTENARIO-USA2016KITIMTIM cha kusaka Nchi Bingwa wa Copa América Centenario kitaanza Ijumaa Usiku Wikiendi hii huko Marekani kwa kutumia Viwanja 10 katika Miji 10 ya USA.
Mashindano haya ni mahsusi kusheherekea Miaka 100 ya Copa America, Mashindano ya Shirikisho la Soka la Nchi za Marekani ya Kusini, CONMEBOL, ambayo yalianzishwa Mwaka 1916.
Hii ni mara ya kwanza kwa michuano hii kuchezwa nje ya Marekani ya Kusini.
Haya yatakuwa ni Mashindano ya 45 kufanyika na kawaida yake hufanyika kila baada ya Miaka Minne lakini safari hii CONMEBOL na CONCACAF, Shirikisho la Soka la Nchi za Marekani ya Kaskazini, Kati na Nchi za Visiwa vya Caribbean, walikubaliana kuandaa Mashindano maalum.
Safari hii michuano hii itakuwa na Nchi 16, badala ya 12 za kawaida, kwa kushirikisha Nchi 10 kutoka CONMEBOL na 6 za CONCACAF.
Kawaida Mshindi wa Copa America huiwakilisha Marekani ya Kusini kwenye Mashindano ya FIFA ya Kombe la Shirikisho lakini Mshindi wa Copa América Centenario hatapewa hilo kwani Mwaka Jana Chile, wakiwa Nyumbani kwao, ndio walitwaa Copa America ya kawaida na wao ndio watashiriki Mashindano ya FIFA ya Kombe la Shirikisho Mwakani, 2017, huko Russia.
COPA AMERICA
Makundi:
KUNDI A
KUNDI B
KUNDI C
KUNDI D
USA
BRAZIL
MEXICO
ARGENTINA
COLOMBIA
ECUADOR
URUGUAY
CHILE
COSTA RICA
HAITI
JAMAICA
PANAMA
PARAGUAY
PERU
VENEZUELA
BOLIVIA
**CONMEBOL:
-Argentina
-Bolivia
 -Brazil
 -Chile (Copa América title holders)
 -Colombia
 -Ecuador
 -Paraguay
 -Peru
 -Uruguay
 -Venezuela
CONCACAF
-Mexico
-USA
-Jamaica
-Costa Rica
-Haiti
-Panama
RATIBA
**Saa za Bongo
Jumamosi 4 Juni 2016
0430 USA v Colombia
0001 Costa Rica v Paraguay       
Jumapili 5 Juni 2016
0230 Haiti v Peru   
0500 Brazil v Ecuador      
0001 Jamaica v Venezuela
Jumatatu 6 Juni 2016
0001 Mexico v Uruguay    
Jumanne 7 Juni 2016
0001 Panama v Bolivia    
0500 Argentina v Chile    
Jumatano 8 Juni 2016
0300 USA v Costa Rica    
0530 Colombia v Paraguay
Alhamisi 9 Juni 2016
0230 Brazil v Haiti 
0400 Ecuador v Peru       
Ijumaa 10 Juni 2016
0230 Uruguay v Venezuela
0500 Mexico v Jamaica    
Jumamosi 11 Juni 2016
0200 Chile v Bolivia
0430 Argentina v Panama
Jumapili 12 Juni 2016
0200 USA v Paraguay      
0400 Colombia v Costa Rica       
0130 Ecuador v Haiti       
Jumatatu 13 Juni 2016
0330 Brazil v Peru 
Jumanne 14 Juni 2016
0300 Mexico v Venezuela 
0500 Uruguay v Jamaica  
Jumatano 15 Juni 2016
0300 Chile v Panama       
0500 Argentina v Bolivia  
Robo Fainali
Ijumaa 17 Juni 2016
0430 Mshindi Kundi A v Mshindi wa 2 Kundi B [RF1]
Jumamosi 18 Juni 2016
0300 Mshindi Kundi B v Mshindi wa 2 Kundi A [RF2] 
Jumapili 19 Juni 2016
0200 Mshindi Kundi D v Mshindi wa 2 Kundi C [RF3] 
0500 Mshindi Kundi C v Mshindi wa 2 Kundi D [RF4] 
NUSU FAINALI
Jumatano 22 Juni 2016
0400 Mshindi RF1 v Mshindi RF3
Alhamisi 23 Juni 2016
0300 Mshindi RF2 v Mshindi RF4
MSHINDI WA TATU
Jumapili 26 Juni 2016
0200
FAINALI
Jumatatu 27 Juni 2016
0300 

Hakuna maoni: