LEO DABI LONDON KASKAZINI SPURS v ARSENAL!
EPL, LIGI KUU ENGLAND
Ratiba:
Jumapili Aprili 30
1400 Manchester United v Swansea City
1605 Everton v Chelsea
1605 Middlesbrough v Manchester City
1830 Tottenham Hotspur v Arsenal
=============================
Wakati Spurs wako Nafasi ya Pili Pointi 4 nyuma ya Vinara Chelsea
huku wakiwa wamebakiza Mechi 5 na kuwepo matumaini ya kupata Ubingwa,
Arsenal wapo Nafasi ya 6 wakipigania tu kumaliza 4 Bora ili Msimu ujao
wacheze UCL, UEFA CHAMPIONZ LIGI.
Arsenal wapo Pointi 5 nyuma ya Timu ya 4 Man City lakini wana Mechi 1 mkononi.
Arsene Wenger, Meneja wa Arsenal, ametaka Kikosi chake kishuke White Hart Lane kikipigana ili kuhakikisha ushindi.
Chini ya Wenger, Arsenal imecheza Dabi hii na Spurs mara 49 na kushinda 22, Sare 20 na Kufungwa 7.
Lakini hivi sasa Tottenham hawajafungwa katika Mechi 5 za Ligi zilizopita zote zikiwa chini ya Meneja Mauricio Pochettino.
VIKOSI VINATARAJIWA KUWA:
TOTTENHAM HOTSPUR: Hugo Lloris, Jan Vertonghen, Toby Alderweireld,
Eric Dier, Danny Rose, Mousa Dembele, Victor Wanyama, Kyle Walker, Dele
Alli, Christian Eriksen, Harry Kane
ARSENAL: Petr Cech, Gabriel Paulista, Laurent Koscielny, Rob Holding, Alex Oxlade-Chamberlain, Aaron Ramsey, Granit Xhaka, Nacho Monreal, Alexis Sanchez, Mesut Ozil, Danny Welbeck
ARSENAL: Petr Cech, Gabriel Paulista, Laurent Koscielny, Rob Holding, Alex Oxlade-Chamberlain, Aaron Ramsey, Granit Xhaka, Nacho Monreal, Alexis Sanchez, Mesut Ozil, Danny Welbeck
REFA: Michael Oliver
EPL, LIGI KUU ENGLAND
Ratiba:
Jumatatu Mei 1
2200 Watford v Liverpool
KIPIGO, BIG SAM ALAUMU REFA PALACE KUCHAPWA 2 NA BURNLEY!
EPL, LIGI KUU ENGLAND
Matokeo:
Jumamosi Aprili 29
Southampton 0 Hull City 0
Stoke City 0 West Ham United 0
Sunderland 0 Bournemouth 1
West Bromwich Albion 0 Leicester City 1
Crystal Palace 0 Burnley 2
+++++++++++++++++++++++++++
Matukio yaliyomkera Big Sam ni hasa pale Wilfred Zaha
alipoamuliwa kimakosa kuwa ni Ofsaidi alipochanja mbuga kwenda kumsalimu
Kipa Tom Heaton ambae alimwangusha Fowadi huyo na hivyo kupaswa
kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu na Penati kutolewa lakini yote hayo
yalifutika baada Mshika Kibendera kuamua ni Ofsaidi.
Refa wa Mechi hiyo alikuwa Bobby Madley.
Kipigo hicho kimeifanya Palace kuwa Timu ya kwanza kufungwa wakiwa kwao na Burnley tangu Mei 2015.
Bao za Burnley zilipachikwa na Ashley Barnes na Andre Gray.
EPL, LIGI KUU ENGLAND
Ratiba:
Jumapili Aprili 30
1400 Manchester United v Swansea City
1605 Everton v Chelsea
1605 Middlesbrough v Manchester City
1830 Tottenham Hotspur v Arsenal
Jumatatu Mei 1
2200 Watford v Liverpool
KIPIGO, BIG SAM ALAUMU REFA PALACE KUCHAPWA 2 NA BURNLEY!
EPL, LIGI KUU ENGLAND
Matokeo:
Jumamosi Aprili 29
Southampton 0 Hull City 0
Stoke City 0 West Ham United 0
Sunderland 0 Bournemouth 1
West Bromwich Albion 0 Leicester City 1
Crystal Palace 0 Burnley 2
+++++++++++++++++++++++++++
Matukio yaliyomkera Big Sam ni hasa pale Wilfred Zaha
alipoamuliwa kimakosa kuwa ni Ofsaidi alipochanja mbuga kwenda kumsalimu
Kipa Tom Heaton ambae alimwangusha Fowadi huyo na hivyo kupaswa
kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu na Penati kutolewa lakini yote hayo
yalifutika baada Mshika Kibendera kuamua ni Ofsaidi.
Refa wa Mechi hiyo alikuwa Bobby Madley.
Kipigo hicho kimeifanya Palace kuwa Timu ya kwanza kufungwa wakiwa kwao na Burnley tangu Mei 2015.
Bao za Burnley zilipachikwa na Ashley Barnes na Andre Gray.
EPL, LIGI KUU ENGLAND
Ratiba:
Jumapili Aprili 30
1400 Manchester United v Swansea City
1605 Everton v Chelsea
1605 Middlesbrough v Manchester City
1830 Tottenham Hotspur v Arsenal
Jumatatu Mei 1
2200 Watford v Liverpool
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni