TASWIRA TANO ZA UZI MPYA WA MAN UNITED KWA AJILI YA MSIMU UJAO
Manchester United mapemaa imeamua kuuweka hadharani uzi wake mpya wa msimu wa 2017/18.
Uzi
huo unaonekana kurudisha kumbukumbu ya Man United kuhusiana na jezi za
enzo hizoo wakati wa kipindi cha Alex Ferguson na wachezaji kama Ryan
Giggs walikuwa wakichipukia.
MASHABIKI WATUKUTU WALISHAMBULIA GARI LA KIFAHARI LA COUTINHO WA LIVERPOOL
Coutinho amekutana na msala huo baada ya kuhudhuria hafla fupi ya kufunga msimu iliyoandaliwa na klabu hiyo.
Imeelezwa mashabiki watukutu ndiyo walilishambulia gari hilo wakati yeye na wachezaji wenzake na mkewe Aine wakiendelea na sherehe katika hafla hiyo ilikuwa ikifanyika kwenye Uwanja wa Anfield.
Imeelezwa mashabiki watukutu ndiyo walilishambulia gari hilo wakati yeye na wachezaji wenzake na mkewe Aine wakiendelea na sherehe katika hafla hiyo ilikuwa ikifanyika kwenye Uwanja wa Anfield.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni