tecno

tecno

airtel

airtel

.

.

nido

nido

RADIO LISTEN NOW

19 Juni 2015

2015/16 UEFA CHAMPIONZ LIGI-MSIMU MPYA KUANZA DROO JUMATATU!

UCL-2014-15-LOGO-1PATA HATUA ZA UCL NA KLABU ZITAKAZOSHIRIKI KILA HATUA!
Msimu mpya wa 2015/16 wa UEFA CHAMPIONZ LIGI unaanza Jumatatu kwa Droo ya kupanga Mechi za Raundi za Mchujo za Kwanza  na za Pili huko Makao Makuu ya UEFA Mjini Nyon, Switzerland.
Fainali ya 2015/15 ya UEFA CHAMPIONZ LIGI itafanyika huko San Siro Mjini Milan, Italy hapo Jumamosi  28 Mei 2016.
Uwakilishi wa Nchi za Ulaya kwenye Mashindano ya UEFA CHAMPIONZ LIGI, UCL, huamuliwa na Kanuni za UEFA ambazo hupanga Ubora wa Nchi na Klabu zake kwa Kipindi cha Miaka Mitano.
Timu 22 zitaingia moja kwa moja hatua ya Makundi ya UCL, ikiwa ni pamoja na Sevilla, ambao ni Mabingwa wa UEFA EUROPA LIGI, ambao kwa mara ya kwanza wanaingizwa UCL kwa mujibu wa Kanuni mpya.
Timu nyingine 56 zitaanzia Mechi za Mchujo za UCL.
Pia, kwa mujibu wa Kanuni mpya za UEFA, Mabingwa wa Nchi 7 za juu katika Listi ya Ubora Barani Ulaya watatumbukizwa Chungu Namba 1 kwenye Droo ya kupanga Makundi ili kuzitenganisha wakijumuishwa na Bingwa Mtetezi wa UCL kufanya Timu 8.
Nchi hizo 7 ni Spain, England, Germany, Italy, Portugal, France na Russia.
Lakini kwa vile, Barcelona ndio Mabingwa Watetezi wa UCL na pia ni Mabingwa wa Spain, Timu ya 8 kwenye Chungu Namba 1 imepewa inayofuatia kwa Ubora, inayotoka Holland ambayo ni PSV Eindhoven.
MAKUNDI
-Droo kufanyika Agosti 27 [Mechi kuanza Septemba 15]
Chungu Namba 1
FC Barcelona (Spain, Mabingwa Watetezi) 
FC Bayern München (Germany) 
Chelsea FC (England) 
SL Benfica (Portugal) 
Paris Saint-Germain (France) 
Juventus (Italy) 
FC Zenit (Russia) 
PSV Eindhoven (Netherlands) 
Vyungu Vingine [Vitagawanywa baadae kuwa Vinne]
Real Madrid CF (Spain) 
Club Atlético de Madrid (Spain) 
FC Porto (Portugal) 
Arsenal FC (England) 
Manchester City FC (England) 
Sevilla FC (Spain) 
Olympique Lyonnais (France) 
FC Dynamo Kyiv (Ukraine) 
Olympiacos FC (Greece) 
Galatasaray AŞ (Turkey) 
AS Roma (Italy) 
VfL Borussia Mönchengladbach (Germany) 
VfL Wolfsburg (Germany) 
KAA Gent (Belgium) 
Washindi 10 toka Raundi ya Mwisho ya Mtoano
=======================================
RAUNDI YA MWISHO YA MTOANO
-Droo kufanyika Agosti 7 [Mechi Agosti 18/19 Marudiano Agosti 25/26]
Manchester United FC (England) 
Valencia CF (Spain) 
Bayer 04 Leverkusen (Germany)
Sporting Clube de Portugal (Portugal) 
SS Lazio (Italy) 
Washindi 5 toka Raundi ya Tatu ya Mchujo
=======================================
RAUNDI YA TATU YA MCHUJO
-Droo kufanyika Julai 17 [Mechi Julai 28/29 Marudiano Agosti 4/5]
FC Basel 1893 (Switzerland) 
FC Salzburg (Austria) 
FC Viktoria Plzeň (Czech Republic) 
FC Shakhtar Donetsk (Ukraine) 
AFC Ajax (Netherlands) 
PFC CSKA Moskva (Russia) 
Club Brugge KV (Belgium) 
AS Monaco FC (France) 
BSC Young Boys (Switzerland) 
AC Sparta Praha (Czech Republic) 
Fenerbahçe SK (Turkey) 
Panathinaikos FC (Greece) 
SK Rapid Wien (Austria) 
Washindi 17 toka Raundi ya Pili ya Mchujo
==============================
RAUNDI YA PILI YA MCHUJO 
-Droo kufanyika Juni 22 [Mechi Julai 14/15 Marudiano Julai 21/22]
FC Steaua Bucureşti (Romania) 
Celtic FC (Scotland) 
APOEL FC (Cyprus) 
FC BATE Borisov (Belarus) 
PFC Ludogorets Razgrad (Bulgaria) 
GNK Dinamo Zagreb (Croatia) 
NK Maribor (Slovenia) 
Maccabi Tel-Aviv FC (Israel) 
KKS Lech Poznań (Poland) 
FK Partizan (Serbia) 
Malmö FF (Sweden) 
Qarabağ FK (Azerbaijan) 
HJK Helsinki (Finland) 
Molde FK (Norway) 
FC Midtjylland (Denmark) 
Videoton FC (Hungary) 
KF Skënderbeu (Albania) 
FK Sarajevo (Bosnia) 
FK Ventspils (Latvia) 
FC Dila Gori (Georgia) 
FK AS Trenčín (Slovakia) 
FK Žalgiris Vilnius (Lithuania) 
FC Astana (Kazakhstan) 
FC Milsami Orhei (Moldova) 
FK Rudar Pljevlja (Montenegro) 
FK Vardar (Macedonia) 
Stjarnan (Iceland) 
CS Fola Esch (Luxembourg) 
Dundalk FC (Ireland) 
Hibernians FC (Malta) 
Washindi 4 toka Raundi ya Kwanza ya Mchujo
================================
RAUNDI YA KWANZA YA MCHUJO
-Droo kufanyika Juni 22 [Mechi Juni 30/Julai 1 Marudiano Julai 7/8]
The New Saints FC (Wales) 
FC Levadia Tallinn (Estonia) 
FC Pyunik (Armenia) 
FC Santa Coloma (Andorra) 
Crusaders FC (Northern Ireland) 
B36 Tórshavn (Faroe Islands) 
Lincoln FC (Gibraltar) 
SS Folgore (San Marino) 
 

MAN UNITED YANYEMELEA KUNASA MTU 3 KWA MPIGO!

OLD-TRAFFORDRipoti toka England zimedai Manchester United wameshaanza mazungumzo na AS Monaco ili wamsaini Beki wa Brazil Fabinho.
Huku Fulbeki huyo akitaka kuhama, Monaco imeripotiwa kulikataa Dau la Pauni Milioni 10 la Man United na kutaka walipwe mara mbili.
Wakati huo huo, inasemekana Man United imemchukuwa Wakala kabambe, Jorge Mendes, ambae ndie huwasimamia Masupastaa kama Cristiano Ronaldo, Jose Mourinho na kadhalika, ili kuwasaidia kukamilisha Dili ya kumnasa Beki Nicolas Otamendi ambae Klabu yake Valencia inang'ang'ania kulipwa Pauni Milioni 35.
Nao Southampton wameiambia Man United kulipa Pauni Milioni 24 ikiwa wanataka kumnunua Kiungo mahiri Morgan Schneiderlin mwenye Miaka 25.
Hadi sasa Man United ndio wako mbele ya Arsenal katika mbio za kumnasa Kiungo huyo kutoka France ambae aliwika kwenye Ligi Kuu England Msimu uliopita.
Hadi sasa Meneja wa Man United, Louis van Gaal amefanikiwa kumnunua Winga wa Holland na PSV Eindhoven, Depay Memphis, ambae ndie Mfungaji Bora wa Ligi Kuu huko Holland.

Hakuna maoni: