tecno

tecno

airtel

airtel

.

.

nido

nido

RADIO LISTEN NOW

25 Juni 2015

ALEXIS SANCHEZ AACHIA UJUMBE WA MAANA INSTAGRAM

29EF838600000578-3137813-image-a-42_1435164950127
Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez amewapa ujumbe mashabiki ambao wana matumaini ya kufikia ndoto zao.
Sanchez ame-post picha yake ya utotoni kwenye ukurasa wake wa Instagram inayoonesha kwamba alikuwa na ndoto ya kuwa mcheza soka.
The forward will play in the Copa America quarter final as Chile face Uruguay on Thursday
Amewaambia wafuasi wake “Usiruhusu mtu yeyote akaiba ndoto zako….endelea kupambana” .
Baada ya maneno hayo akatupia picha yake ya utotoni alipokuwa Buenos Aires.
Straika huyo alianza kucheza soka katika klabu ya Cobreloa ya Chile na sasa anaichezea Arsenal kutokea Barcelona, lakini aliwahi kukipiga Udinese

Hakuna maoni: