HILI NDO KINDA LA MIAKA 16 LILILODAKWA NA ARSENAL…
Kiungo huyo inasemekana amekataa kujiunga na mabingwa wa Romania Steaua Bucharest na kwenda Arsenal akitokea ACS Poli Timisoara.
“Nimefurahi sana,ni matumaini
yangu kuwa sijamkasirisha yeyote. Niliona nafasi ya kwenda Arsenal ni
nzuri kwangu, nahisi hapo ndio mahala pangu”, amesema.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni