Jana
usiku mkongwe wa klabu ya Chelsea Frank Lampard alihudhuria mechi
ambayo timu yake ya New York City ilipokuwa ikicheza dhidi ya New York
Red Bulls kwenye dimba la Yankee Stadium jijini New York Marekani mchezo
uliomalizika kwa New York City kuibuka na ushindi wa goli 3-1.
Mbali na mkali huyo wa zamani wa
timu ya Uingereza, winga wa Real Madri Gareth Bale na kiungo wa Juventus
ambaye anatarajiwa kujiunga na timu hiyo ya New York City pia
walikuwepo uwanjani kushuhudia mtanange huo.

Pirlo akiingia uwanjani kabla ya mchezo kuanza

Pirlo akiwa jukwaani akifuatilia mechi kwa makini

Bale akiingia uwanjani kushuhudia mtanange huo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni