Chelsea yasajili beki kinda kutoka Romania, tazama video akionesha Skills zake…
Chelsea wameripotiwa kukamilisha usajili wa kwanza majira
ya kiangazi mwaka huu wakiinasa saini ya mlinzi wa miaka 17, raia wa
Romania, Cristian Manea.
Mkurugenzi mkuu wa FC Viitorul Constanța amethibitisha
usajili huo leo asubuhi kupitia vyombo vya habari kama inavyoonekana
chini;
Breaking: Viitorul’s CEO confirmed Manea’s move to Chelsea and Ianis Hagi’s leave for Fiorentina! #CFC
Kijana huyo mdogo wa Romania anakuwa miongoni mwa vijana wadogo waliojiunga na Chelsea, ingawa haingii kwenye kikosi cha kwanza.
Tazama video inayoonesha ufundi wa kijana huyu….
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni