Zinedine
Zidane a.k.a Zizou amezaliwa June 23 mwaka 1972 na hadi leo amefikisha
miaka 43. Zidane ameoa mwaka 1994 mke wake anaitwa Veronique Zidane.
Hadi leo wana watoto wanne ambao ni Enzo Fernandez, Theo Zidane, Elyaz
Zidane, Luca Zidane.
Happy Birthday To Fundi Zizou
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni