MASHABIKI WA ARSENAL WANAMCHEKA BACARY SAGNA BAADA YA KUNYOA DREADS
Wanamcheka sio kwa muonekano wake bali wanamcheka kwa kusema kwamba maisha ndani ya Manchester city yanamchanganya kiasi kwamba hadi kaamua kunyoa nywere zake.
Tangu aondoke Arsenal amejaribu sana kuonyesha uwezo wake ndani ya Etihad lakini imekua ni kazi kubwa kwake na kubakia akipasha joto benchi la Manchester city karibia msimu mzima. Sagna ana miaka 32 na amecheza dakika 790 tu kwenye msimu uliopita.
Hizi ni tweet za utani kuhusu Sanya alivyonyoa kutoka kwa mashabiki wa Arsenal
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni