tecno

tecno

airtel

airtel

.

.

nido

nido

RADIO LISTEN NOW

21 Juni 2015

Liverpool imeamua kujiimarisha zaidi katika ulinzi baada ya kumnasa beki Joe Gomez.

Gomez aliyekuwa anakipiga katika kikosi cha Charlton amejiunga Liverpool kwa dau la pauni milioni 3.5.
Gomez atajiunga na timu hiyo punde timu itakapoanza mazoezi rasmi Julai 6 kujiandaa na msimu mpya.
Liverpool itasafiri Mashariki mwa bara la Asia na baadaye Australia katika maandalizi hayo ya msimu mpya.


Hakuna maoni: