tecno

tecno

airtel

airtel

.

.

nido

nido

RADIO LISTEN NOW

21 Juni 2015

Vijana wanaendelea kula bata, wako Marekani kabla ya kuanza kwa msimu mpya.

Kiungo wa Juventus, Paul Pogba, kiungo mshambuliaji mpya wa Manchester United, Memphis Depay na mshambuliaji wa Everton Romelu Lukaku wamekutana na kula raha pamoja.

Achana na hao tu hata kiungo raia wa Ivory Costa,
Saloman Kalou naye aliungana nao kula bata.

Wachezaji wengi wamekuwa wakionekana katika sehemu mbalimbali za starehe kabla ya kuanza kwa msimu wa 2015-16.



Hakuna maoni: