MAESTRO’ ANDREA PIRLO ANUKIA KWA OBAMA
Kiungo mkongwe wa Juventus na
Italia, ‘Maestro’ Andrea Pirlo anatarajia kusaini mkataba wa miezi 18
katika klabu ya New York City FC inayoshiriki ligi kuu ya Marekani,
ingawa kutakuwa na kipengele cha kuongezewa mwaka mmoja ambao utamfanya
akae mpaka 2017.
Pirlo mwenye miaka 38 ataanza
mazoezi Julai 21 na atacheza mechi ya kwanza ya ligi Julai 26 dhidi
ya Orlando City katika uwanja wa Yankee Stadium
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni