MICHEZO MINGINE BANA! ANGALIA NASRI ALIVYOPAA JUU YA ANGA LA DUBAI
Kiungo wa Manchester
City, Samir Nasri ameendelea kula raha kwa kucheza ule mchezo wa kuruka angani.
Yaani mnakuwa ndani ya
ndege halafu mnaruka kutoka ndani ya ndege na kuelea angani.
Mchezo huo maarufu kama
Sky Diving na Nasri ameonekana akipaa juu ya mji wa Dubai.
Ameupia picha zake katika
mtandao wa Instagram akionyesha anavyokula ‘mibata’ kabla ya kuanza kwa msimu
mpya.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni