tecno

tecno

airtel

airtel

.

.

nido

nido

RADIO LISTEN NOW

23 Juni 2015

TOTTENHAM INATAKA KUMUUZA ADEBAYOR KUONDOA GHARAMA ZA MSHAHARA WA £100000 KWA WIKI

ade
Adebayor hajasaidia club yake Tottenham kwenye msimu ulioisha kwa kiasi kilichotegemewa ukilinganisha na mshahara wake mkubwa wa £100,000 kwa wiki.
Adebayor licha ya kuweka wazi kwamba bado anataka kurudi kwenye club ya Spurs na kuonyesha uwezo wake. Club hiyo bado ipo katikati kumuuza mchezaji huyo kutokana na gharama za mkataba wake.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Adebayor alipost picha akipiga saluti na kuandika “Feeling really fresh after my goal. Can’t wait to come back to Tottenham and show everyone the passion I have for the club. Looking forward to pre season! #COYS”
Spurs wapo katikati kuhusu club gani itakubali kumchukua Adebayor kwa jinsi msimu ulipita ulivyokua kwake ambapo imeabika miezi 12 kuisha kwa mkataba wao na Adebayor.

Hakuna maoni: