tecno

tecno

airtel

airtel

.

.

nido

nido

RADIO LISTEN NOW

23 Juni 2015

INTER MILAN YAZIPIKU ARSENAL NA AC MILAN…GEOFFREY KONDOGBIA ATUA RASMI INTER MILAN

bia
Baada ya ushindani wa muda kidogo kati ya club tatu ambazo zilikua zinataka saini ya mchezaji wa Monaco Geoffrey Kondogbia, hatimae umefika mwisho.
Taarifa rasmi na za uhakika ni kwamba mchezaji huyo ameshakuwa mchezaji halali wa club ya Inter Milan kwa ada ya €35million (£25m).
Inter wametoa picha za mchezaji huyo akisaini makaratasi na tayari kwa ajili ya vipimo vya afya na kujiunga rasmi na club hiyo. Geoffrey Kondogbia amesaini mkataba wa miaka 5 wenye thamani ya €4m (£2.8m) kwa mwaka.

Hakuna maoni: