ZLATAN IBRAHIMOVIC KUTOA PERFUME YAKE KWA MARA YA KWANZA..HII NDIO PICHA YAKE
Zlatan kama wachezaji wengi wa soka Ulaya hivi sasa yupo zake Marekani na mpenzi wake Helena Seger wakiwa likizo. Zlatan amejikuta akipigwa picha na mapaparazi wa Marekani akitoka kwenye dinner huko West Hollywood.
Habari kubwa sio hiyo, bali ni kwamba kwa mara ya kwanza Zlatan ame launch perfume yake ambayo anasema imemchukua miaka miwili ili kupitisha kiwango cha perfume hiyo na kuuigiza soko.
Zlatan anategemea kuingiza sokoni perfume hiyo ikifika August 12 mwaka huu. Caption yake aki-tease perfume hiyo kwenye instagram aliandika “A sneak preview; the result of 2 yrs hard work to create my first fragrance. This is what it looks like! Available Aug. 12″
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni