MUIGIZAJI MAARUFU WA FILAMU ZA NGONO SHABIKI WA MANCHESTER UNITED
Manchester United ni klabu yenye mashabiki wengi mno Duniani kote akiwemo Jenna Jameson.
Huyu ni ‘Malkia wa Ngono’ ….yaani ni muigizaji maarufu wa filamu za ngono.
Wakati
Manchester United ikijiandaa kuchuana na Barcelona keshokutwa Santa
Clara, Marekani, Jenna anahangaika kupata tiketi ya kushuhudia mtanange
huo mkubwa.
Jenna ame-post Screenshot yenye taarifa za mechi hiyo kali ya International Champions Cup ikiwa na ujumbe usemao,
“Najitahidi sana kupata tiketi ya hii!!.
Baada
ya kuulizwa kama ni shabiki wa Manchester United, mcheza filamu huyo za
watu wazima aliwathibitishia wafuasi wake kwenye mtandao wa Twitter
kwamba yeye ni shabiki wa Mashetani wekundu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni