UEFA CHAMPIOZ LIGI: SAFU YA RAUNDI YA 3 HIYOOO, NI RAUNDI MOJA KABLA MCHUJO WA MAKUNDI!!
Timu 30 zitacheza Raundi hii na Washindi wake 15 wataungana na Timu
5 zilizoingizwa moja kwa moja kwenye Raundi ya Mwisho ya Mchujo ili
kupata Timu 10 zitakaoingizwa kwenye Droo ya kupanga Makundi
zikijumuishwa na Klabu 22 zinazoanza moja kwa moja kwenye Makundi
wakiwemo Mabingwa Watetezi FC Barcelona.
Timu 5 ambazo zitaanzia Raundi ya Mwisho ya Mchujo ni Manchester
United FC, Valencia CF, Bayer 04 Leverkusen, Sporting Clube de Portugal
na SS Lazio.
UEFA CHAMPIONZ LIGI
Raundi ya 3 ya Mtoano
**Mechi kuchezwa Julai 28/29 na Marudiano Agosti 4/5
KKS Lech Poznań (POL) v FC Basel 1893 (SUI)
FC Milsami Orhei (MDA) v KF Skënderbeu (ALB)
HJK Helsinki (FIN) v FC Astana (KAZ)
Celtic FC (SCO) v Qarabağ FK (AZE)
FC Steaua Bucureşti (ROU) v FK Partizan (SRB)
FC Midtjylland (DEN) v APOEL FC (CYP)
Maccabi Tel-Aviv FC (ISR) v FC Viktoria Plzeň (CZE)
GNK Dinamo Zagreb (CRO) v Molde FK (NOR)
Videoton FC (HUN) v FC BATE Borisov (BLR)
FC Salzburg (AUT) v Malmö FF (SWE)
Panathinaikos FC (GRE) v Club Brugge KV (BEL)
BSC Young Boys (SUI) v AS Monaco FC (FRA)
PFC CSKA Moskva (RUS) v AC Sparta Praha (CZE)
SK Rapid Wien (AUT) v AFC Ajax (NED)
Fenerbahçe SK (TUR) v FC Shakhtar Donetsk (UKR)
KALENDA
-Droo ya Raundi ya Mwisho ya Mchujo: Agosti 7
**Mechi kuchezwa Agosti 18/19 na Marudiano Agosti 25/26
-Timu 22 zinazoanzia Hatua ya Makundi:
CHUNGU NA 1: FC Barcelona (ESP, Mabingwa Watetezi), FC Bayern
München (GER), Chelsea FC (ENG), SL Benfica (POR), Paris Saint-Germain
(FRA), Juventus (ITA), FC Zenit (RUS), PSV Eindhoven (NED)
VYUNGU VINGINE: Real Madrid CF (ESP), Club Atlético de Madrid
(ESP), FC Porto (POR), Arsenal FC (ENG), Manchester City FC (ENG),
Sevilla FC (ESP), Olympique Lyonnais (FRA), FC Dynamo Kyiv (UKR),
Olympiacos FC (GRE), Galatasaray AŞ (TUR), AS Roma (ITA), VfL Borussia
Mönchengladbach (GER), VfL Wolfsburg (GER), KAA Gent (BEL)
TAREHE MUHIMU:
-Droo Hatua ya Makundi: Agosti 27
-Ratiba Mechi za Makundi:
Mechidei 1: 15/16 Septemba
Mechidei 2: 29/30 Septemba
Mechidei 3: 20/21 Oktoba
Mechidei 4: 3/4 Novemba
Mechidei 5: 24/25 Novemba
Mechidei 6: 8/9 Decemba
-Droo ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16: Desemba 14
**Mechi Februari 16/17/23/24 na Marudiano Machi 8/9/15/16
-Droo ya Robo Fainali: Machi 18
**Mechi Aprili 5/6 na Marudiano Aprili 12/13
-Droo ya Nusu Fainali: Aprili 15
**Mechi Aprili 26/27 na Marudiano Mei 3/4
FAINALI
Mei 28
San Siro, Milan, Italy
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni