WACHEZAJI WALIOPEWA MAJUKUMU NA YA KUPIGA PENATI EPL
Hatari sana kumbe yule Mshambuliaji hatari wa Kasulu mjini
anaetambulika kama Moses Machali alikuwa anang’ang’ania
kuwa mpiga penati kwenye timu yake ya zamani lakini makocha wakamzingua
ndo ikawa chanzo cha yeye kwenda kwenye timu mpya iliyopanda daraja kwa
kasi iliyosajiliwa kwa jina la Act…. mwanzoni sikujua kama kwenye siasa
kuna wanaong’ang’ania kupiga penati, binafsi nilizani akina
“Super Mario” ndo wanaofanya hivyo..!! Anyway tuachane na hayo mambo ya
akina
Esther Bulaya maana hapa sio mahala pake. Leo nimeguswa na
kitu kimoja tu, unajua ni nini? Twende pamoja hadi mwisho tusome pamoja…
Kama wengi tunavyojua, penati ni nafasi nzuri sana ya
kufunga goli kwani wataalamu wa soka wanakwambia penati ni 90% ya goli
ila Mario anapingana nao anakwambia penati ni 100% yote yanawezekana
kuwa majibu sahihi.
Vilabu vingi vinapenda kuwapa majukumu wachezaji fulani
kupiga penati endapo itapatikana, vilabu vyetu sizani kama vina mfumo
huu, naamini Shaffih yupo katika utafiti juu ya hili. Leo hii
naomba tutazame vilabu 20 vya English Premier League na wachezaji
waliopewa majukumu ya kupiga penati endapo itatokea, kumbuka kwenye
mabano ni wachazeji husika..Arsenal
{Arteta, Cazorla, Giroud, Wilshere}
Aston Villa
{Sinclair, Bacuna}
Bournemouth
{Kermorgant, Wilson, Rantie}
Chelsea
{Hazard, Fabregas, Costa}
Crystal Palace
{Jedinak, Murray, Gayle, Chamakh, Puncheon}
Everton
{Lukaku, Baines, Mirallas}
Leicester
{Nugent, Ulloa, Kramaric}
Liverpool
{Henderson, Balotelli, Sturridge}
Man City
{Aguero, Toure, Bony, Kolarov}
Man Utd
{Mata, Rooney}
Newcastle Utd
{Cisse, Cabella, Riviere}
Norwich
{Hoolahan, Dorrans, Hooper, Grabban }
Southampton
{Tadic, Ward-Prowse, Davis, Long, Pelle}
Stoke City
{Adam, Walters, Arnautovic}
Sunderland
{Gomez, Johnson, Wickham}
Swansea City
{Shelvey, Gomis, Sigurdsson, Ki}
Tottenham
{Townsend, Kane, Soldado, Adebayor}
Watford
{Deeney, Vydra, Ighalo}
West Brom
{ Berahino, Morrison, Gardner, Sessegnon}
West Ham
{Noble, Nolan}
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni