INAONEKANA WAZI
KUWA SASALOUIS VAN GAAL TAYARI AMEPATA KIKOSI KIPYA KWA AJILI YA MSIMU
UJAO. HIKI HAPA NDIYO AMEKIPA NAFASI ZAIDI KATIKA MECHI ZAKE MBILI ZA
KIRAFIKI. HII INAONYESHA WACHEZAJI WALIO KATIKA KIKOSI HIKI, KWA
ASILIMIA 85 NDIYO WATAKUWA WA KIKOSI CHA KWANZA KITAKACHOPAMBANA LIGI
KUU ENGLAND. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni