tecno

tecno

airtel

airtel

.

.

nido

nido

RADIO LISTEN NOW

16 Septemba 2015

HAWA NDIO WACHEZAJI WANAONGOZA KWA KUTOA ASSISTS KWENYE BUNDESLIGA HADI SASA

bunde
Kwenye mpira kila mchezaji uwanjani ni muhimu kweye kazi yake. Lakini mara nyingi wanaopata sifa ni wale wanaotupia nyavuni au wanaozuia magoli.
Watu makini huwa wanaangalia hadi wale wanaotoa assist kwenye harakati za kufunga magoli. Bila wao wachezaji ambao wanatupia golini wanaweza wasiwe on top kama ilivyo kawaida.
Hawa hapa ni wachezaji kumi ambao wanaongoza kwa kutoa assist zilizosaidia timu zao kushinda magoli kwenye ligi ya Bundesliga ndani ya mechi chache zilizoanza msimu huu.
Endelea kufuatilia Bundesliga kupitia king’amuzi cha StarTimes kwa bei ambayo ni ya kitanzania. Magoli yote ya nguvu kwenye ligi yenye kasi una nafasi ya kuangalia mwanzo mwisho.
1
dfs

Hakuna maoni: