tecno

tecno

airtel

airtel

.

.

nido

nido

RADIO LISTEN NOW

16 Septemba 2015

KUMBE WAZAZI WA LUKE SHAW WALIKUA UWANJANI…HECTOR MORENO AMESEMA HIVI

2C5A626400000578-0-image-a-17_1442391403899
Kumbe jana usiku wakati Luke Shaw anapata jeraha kubwa ambalo litamfanya akae nje ya uwanja angalau kwa miezi 6, wazazi wake walikuwepo uwanjani kumuangalia mtoto wao akicheza mechi ile.
Bahati mbaya wamemshuhudia mtoto wao akipata maumivu makali badala ya kumuona akiisaidia club yake. Taarifa zinasema kwamba wazazi hao walishindwa kumalizia kuangalia mechi walielekea hospitali ambapo Luke alipelekwa. Siku ya leo Luke Shaw anategemea kufanyiwa matibabu kamili ili kuendelea kuuguza mguu wake.Luke amelazwa kwenye hospitali ya St Anna Ziekenhuis ambapo Ed Woodward amemtembelea leo asubuhi.
Moreno ambae alihusikka kwenye rafu hiyo alisema, “Najiskia vibaya sana kwake najiskia vibaya snaa kwasababu najua jinsi anavyojiskia. Kitu kama kile kimewai kunitokea mimi kwenye kombe la dunia. Namtakia heri apone haraka na halikua lengo langu”

Hakuna maoni: