tecno

tecno

airtel

airtel

.

.

nido

nido

RADIO LISTEN NOW

25 Septemba 2015

TUNZUNGUMZIE BUNDESLIGA KIHIVI

bunde
Hata kama si mpenzi wa soka, ni lazima utakuwa umewahi kusikia majina ya vilabu vikubwa barani Ulaya kama vile Bayern Munich na Wolfsburg Germany. Hivi ni vilabu vikubwa vinavyoshiriki ligi kuu ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga
Habari hii si kuhusu vilabu wala uchambuzi wa kisoka, lakini ni kuhusu jinsi unavyoweza kuitazama.
Katika pitapita zangu nimekutana na hii application, inaitwa Tenbre inatolewa na Startimes BURE. Unaweza kujiuliza, kuna uhusiano gani kati ya hii Tenbre na Bundesliga?
bunde2
Ukiwa na application hii ya Tenbre unaweza kutazama Bundesliga kwenye simu yako mahali popote wakati wowote. Huu ndio uhusiano uliopo.
bunde3
Kama mdau wa michezo niliona sio mbaya kama nitakufikishia nawe njia rahisi ya kuweza kutazama Bundesliga mahali popote ulipo. Unaweza kuDOWNLOAD application hii hapa http://bit.ly/1iZxj3W bila gharama zozote. Tazama bundesliga BURE

Hakuna maoni: