ORODHA YA MAWAKALA WENYE PESA ZAIDI DUNIANI, MENDES KAMA KAWA…
Vilabu
vya ligi kuu ya England (EPL) vimetumia jumla ya pauni bilioni moja kwa
ajili ya usajili wa msimu huu wa 2015. Mtandao wa habari za michezo wa
daily mail umetoa orodha ya mawakala saba wenye nguvu ya pesa kwa sasa
kwenye mchezo wa soka.
7. Thomas Kroth
Wakala wa: Manuel Neuer, Aleksander Dragovic, Shinji Kagawa, Sebastian Rode, Jose Holebas.
Thamanin ya mkataba wake ni: £146m
6. Fernando Felicevich
Meneja wa: Alexis Sanchez, Arturo Vidal, Claudio Bravo, Gary Medel
Thamani ya mkataba wake ni: £148m
5. Mino Raiola
Wakala wa: Paul Pogba, Henrikh Mkitarhyan, Blaise Matuidi, Zlatan Ibrahimovic, Maxwell, Romelu Lukaku, Mario Balotelli
Thamani ya mkataba wake: £186m
Wakala wa : Vitolo, Fernando Torres, Javi Martinez, Jesus Navas, Pedro, Raul Garcia, Nacho Monreal
Thamani ya mkataba wake: £191m
3. Volker Struth
Wakala wa: Marco Reus, Mario Gotze, Toni Kroos, Benedikt Howedes, Sidney Sam, Omer Toprak, Gonzalo Castro, Josip Drmic.
Mkataba wake unathamani ya: £278m
Thamani ya mkataba wake ni: £287m
1. Jorge Mendes
Wakala wa: Cristiano
Ronaldo, James Rodriguez, Eliaquim Mangala, Pepe, Ricardo Carvalho,
Fabio Coentrao,Diego Costa, Thiago Silva, Tiago, Radamel Falcao, Angel
di Maria, David de Gea, Jose Mourinho.
Thamani ya mkataba wake ni: £626.3m
Jorge Mendes
anabakia kuwa wakala tajiri kuliko wote duniani akiwa amewahi kuhusika
kwenye dili la uhamisho wa Ronaldo kwenda Madrid.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni