UNAJUA LUKE SHAW KAMWAMBIA NINI JAMAA ALIYEMVUNJA MGUU?
Beki huyo wa kati wa PSV
Eindhoven hakupewa adhabu yoyote licha ya kumuumiza Shaw kwa kumvunja
mguu ambao atauuguza kwa miezi sita kabla ya kurejea uwanjani.
Moreno amesema: “kile kilichotokea kwa Shaw ilikuwa ni bahati mbaya. Na nilishtushwa sana”.
“Aliangalia picha na akasema ilikuwa ni sehemu ya mchezo. Kiauli hiyo ilinifanya nitabasamu”.
Shaw alirejea Manchester siku ya
Jumapili asubuhi akitokea Uholanzi ambako alikuwa anatibiwa mguu wake wa
kulia uliovunjika mara mbili wakati timu yake ikipambana na PSV kwenye
mchuano wa kombe la klabu bingwa Ulaya.
Aliposti picha tatu akiwa pamoja
na wafanyakazi hao zilizoambatna na ujumbe uliosomeka: ‘I just wanna say
a massive thank you to everyone at St Anna hosptal for all the care and
attention they have given me the last few days’. (Namshukuru kila mmoja
kwenye hospitali ya St Anna kwa uangalizi walionipa siku chache
zilizopita).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni