Wayne Rooney Apiga Hat Trick – Hili Ndio Jina Alilompa Mtoto Wake Mpya
Rooney na Coleen kwa pamoja walitumia akaunti zao za mtandao wa Twitter kuwaambia mashabiki wao juu ya taarifa hiyo, wakiandika: ‘Our gorgeous little boy arrived today. Kit Joseph Rooney. 8Ib 1oz. We are over the moon.’
Jana, Rooney alitoa ishara kwamba mkewe anakaribia kujifungua, baada ya kupost picha ya zamani iliyokuwa akimuonyesha akiwa na mtoto wake wa pili Klay muda mfupi baada ya kuzaliwa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni