tecno

tecno

airtel

airtel

.

.

nido

nido

RADIO LISTEN NOW

16 Aprili 2016

SERIE A: JUVENTUS KUIVAA PALERMO WAKIELEKEA KUBEBA TAJI!


JUVE-SERIEA-4JUUMABINGWA na Vinara wa Serie A huko Italy, Juventus, Jumapili wanakabiliwa na Mechi laini Uwanjani kwao dhidi ya Palermo ambayo haijashinda Mechi 11 zaSERIEA-APR15 Ligi. Juve, chini ya Kocha Massimiliano Allegri, wameshinda Mechi 19 kati ya 20 walizocheza na Palermo Juventus Stadium na Msimu uliopita kwenye Mechi kama hii, Juve waliifunga Palermo 2-0.
Timu ya Pili kwenye Serie A, Napoli, ambayo iko Pointi 6 nyuma ya Juve huku zimebaki Mechi 6, wanacheza Leo Ugenini huko San Siro dhidi ya Inter Milan.
VIKOSI VINATARAJIWA KUWA:
Juventus: Buffon; Barzagli, Bonucci, Rugani; Cuadrado, Khedira, Marchisio, Pogba, Evra; Mandzukic, Dybala
Kifungoni: Zaza
Palermo: Sorrentino; Marganella, Gonzalez, Andelkovic, Lazaar; Hiljemark, Jajalo, Chochev; Brugman; Gilardino, Vazquez
Kifungoni: Quaison
SERIE A
Ratiba
**Saa za Bongo
Jumamosi Aprili 16
1600 Bologna FC v Torino FC
1900 Carpi v Genoa CFC
2145 Inter Milan v SSC Napoli
Jumapili Aprili 17
1330 Atalanta v AS Roma
1600 Juventus FC v U.S. Citta di Palermo
1600 Udinese Calcio v AC Chievo Verona
1600 Hellas Verona FC v Frosinone Calcio
1600 ACF Fiorentina v US Sassuolo Calcio
1900 SS Lazio v Empoli
2145 UC Sampdoria v AC Milan

Hakuna maoni: