tecno

tecno

airtel

airtel

.

.

nido

nido

RADIO LISTEN NOW

19 Agosti 2016

Palace kumsajili Benteke



Palace kumsajili Benteke

    Liverpool imekubali dau la pauni mil 27 kutoka Crystal Palace kwa ajili ya mshambuliaji wake asiye na namba Christen Benteke.

    Benteke anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya leo Ijumaa kabla ya kukamilisha usajili wake huko London.

    Hata hivyo, thamani ya mchezaji huyo inaweza kuzidi pauni mil 30, kulingana na makubaliano ya timu hizo.

    Palace imekuwa ikisaka mbadala wa Bolasie aliyeuzwa Everton.

Hakuna maoni: