Ranieri aongeza miaka minne Leicester
Kocha wa Leicester City, Claudio Ranieri amesaini mkataba mpya
wa miaka 4, ambao unamfunga kwa mabingwa hao wa Uingereza hadi juni
2020.
Muitaliano huyo anakubali dili hilo, kabla ya Leicester kuanza kutetea taji la ligi kuu ya soka nchini Uingereza, dhidi ya Hull City, Agost 13 mwaka huu.
Ranieri amesema tangu zamani alikuwa na malengo ya kukaa muda mrefu na Mbweha hao, ili kufanikisha malengo ya klabu hiyo.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni