Wanasoka 10 wanaolipwa zaidi
Ronaldo, ambaye hivi karibuni ameisaidia Ureno kushinda kombe la mataifa ya Ulaya 2026, anaongoza chati hiyo akiwa na mshahara wa £288,000 kwa wiki baada ya makato ya kodi (sawa na kitita cha £15 million kwa mwaka) waka Messi akiwa nafasi ya pili kwa kulipwa vizuri anachukua kitita cha £275,000 (sawa na £14.5 million kwa mwaka).
Baada ya kukamilika kwa dili lililovinja rekodi ya uhamisho duniani la ada ya paundi milioni 89 (sawa na dola za Marekani milioni 115.98), Paul Pogba ambaye amesaini miaka mitano kuitumikia Manchester United mkataba wake unamfanya alipwe £260,000 kwa wiki kabla ya kodi.
Orodha kamili kuanzia chini ya mishahara ya wachezaji wanaolipwa pesa mingi zaidi baada ya makato ya kodi.
David Silva £200,000
Neymar £220,000
Asamoah Gyan £227,000
Segio Aguero £240,000
Yaya Toure £240,000
Zlatan Ibrahimovic £250,000
Wayne Rooney £260,000
Paul Pogba £290,000(Kabla ya kukatwa kodi)
Lionel Messi £275,000
Cristiano Ronaldo £288,000
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni