KOCHA MPYA BARCELONA HUYU HAPA, ANACHUKUA MIKOBA YA ENRIQUE
Barcelona imemtangaza Ernesto Valverde kuwa kocha wake mpya mkuu anayechukua nafasi ya Luis Enrique aliyeamua kuondoka.
Barcelona imemtangaza Ernesto Valverde kuwa kocha wake mpya mkuu anayechukua nafasi ya Luis Enrique aliyeamua kuondoka.
Valverde, 53, alikuwa kocha wa Athletic Bilbao ambayo imemaliza La Liga ikiwa katika nafasi ya 7.
Kabla
ya hapo, kocha huyo amewahi kuzinoa Villarreal, Valencia na wapinzani
wakubwa wa Barcelona inapokuwa jijini Barcelona, Espanyol.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni