FA CUP-DROO RAUNDI YA 5: NI ARSENAL v BORO, MAN UNITED, WAKIPITA RAUNDI YA 4, KUIVAA PRESTON AU SHEFFIELD!
Manchester United, ambao wana Marudio ya Raundi ya 4 na Cambridge United, wakipita hapo watakutana na Mshindi kati ya Preston au Sheffield United na watacheza Ugenini.
Ikiwa Liverpool wataitoa Bolton kwenye Marudio ya Raundi ya 4, watacheza Ugenini na Crystal Palace.
Mechi za Raundi ya 5 zitachezwa Wikiendi ya Februari 14 na 15.
DROO KAMILI:
Crystal Palace v Liverpool au Bolton
Arsenal v Middlesbrough
Aston Villa v Leicester City
West Bromwich Albion v West Ham
Bradford City v Sunderland au Fulham
Blackburn Rovers v Rochdale au Stoke
Derby County v Reading
Preston au Sheffield United v Cambridge au Manchester United.
+++++++++++++++++++++++++++++
RAUNDI YA 4-Marudiano
**Zote Saa 4 Dakika 45 Usiku, Saa za Bongo
Jumanne Februari 3
Fulham v Sunderland
Sheffield United v Preston
Man United v Cambridge
Jumatano Februari 4
Bolton v Liverpool
+++++++++++++++++++++++++++++
TAREHE ZA RAUNDI:
-Raundi ya 5: 14 Februari 2015
-Raundi ya 6: 7 Machi 2015
-Nusu Fainali: 18 & 19 Aprili 2015
-Fainali: 30 Mei 2015
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni