COPA AMERICA: ARGENTINA. PARAGUAY, URUGUAY ZOTE ROBO FAINALI, LEO BRAZIL KUNANI?
Argentina, ambao Jana waliitungua Jamaica, Timu ambayo ni WAgeni
Waalikwa wa Mashindano haya, Bao 1-0 kwa Bao la Dakika ya 11 la Gonzalo
Higuian, wao wameshika Nambari Wani Kundi B.
Katika Mechi ya Uruguay na Paraguay, Bao la Dakika ya 29 la Jose
Maria Gimenez liliwapa Uruguay uongozi lakini Dakika ya 44 Lucas Barrios
aliisawazishia Paraguay.
++++++++++++++++++++++
MSIMAMO:
KUNDI A
**Kila Timu imecheza Mechi 3
1 Chile Pointi 7
2 Bolivia 4
3 Ecuador 3
4 Mexico 2
KUNDI B
**Kila Timu imecheza Mechi 3
1 Argentina Pointi 7
2 Paraguay 5
3 Uruguay 4
4 Jamaica 0
KUNDI C
**Kila Timu imecheza Mechi 2
1 Peru Pointi 3
2 Brazil 3
3 Colombia 3
4 Venezuela 3
**Timu 2 za Juu kila Kundi na Timu za 3 mbili Bora zitasonga Robo Fainali
++++++++++++++++++++++
Kwenye Robo Fainali Mabingwa Uruguay watacheza na Wenyeji Chile,
Argentina watacheza na Mshindi wa 3 toka Kundi C na Paraguay watacheza
na Bolivia.
Leo zipo Mechi mbili za mwisho za Kundi C ambalo Timu zozote 3 kati
ya 4 zinaweza kutinga Robo Fainali kwa vile zote zina Pointi 3 kila
mmoja.
Brazil watacheza na Venezuela na Peru kuivaa Colombia.
COPA AMERICA
RATIBA/MATOKEO:
**Saa za Bongo
Alhamisi Juni 11
KUNDI A Chile 2 Ecuador 0
Ijumaa Juni 12
KUNDI A Mexico 0 Bolivia 0
Jumamosi Juni 13
KUNDI B Uruguay 1 Jamaica 0
KUNDI B Argentina 2 Paraguay 2
Jumapili Juni 14
KUNDI C Colombia 0 Venezuela 1
KUNDI C Brazil 2 Peru 1
Jumatatu Juni 15
KUNDI A Ecuador 2 Bolivia 3
KUNDI A Chile 3 Mexico 3
Jumanne Juni 16
KUNDI B Paraguay 1 Jamaica 0
KUNDI B Argentina 1 Uruguay 0
Jumatano Juni 17
KUNDI C Brazil 0 Colombia 1
Alhamisi Juni 18
KUNDI C Peru 1 Venezuela 0
Ijumaa Juni 19
KUNDI A Mexico 1 Ecuador 2
KUNDI A Chile 5 Bolivia 0
Jumamosi Juni 20
KUNDI B Uruguay 1 Paraguay 1
KUNDI B Argentina 1 Jamaica 0
Jumapili Juni 21
KUNDI C Colombia v Peru (Saa 4 Usiku)
KUNDI C Brazil v Venezuela (Saa 6 na Nusu Usiku)
ROBO FAINALI
Jumatano Juni 24
Chile v Uruguay (Saa 8 na Nusu Usiku)
Alhamisi Juni 25
Bolivia v Paraguay (Saa 8 na Nusu Usiku)
Ijumaa Juni 26
Argentina v A3/C3 (Saa 8 na Nusu Usiku)
Jumamosi Juni 27
C1 v Paraguay (Saa 6 na Nusu Usiku)
NUSU FAINALI
Jumatatu Juni 29
RF1 v RF2 (Saa 8 na Nusu Usiku)
Jumanne Juni 30
RF3 v RF4 (Saa 8 na Nusu Usiku)
MSHINDI WA 3
Ijumaa Julai 3
(Saa 8 na Nusu Usiku)
FAINALI
Jumamosi Julai 4
(Saa 5 Usiku)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni