HIVI NDIVYO GERRARD AMEWASILI KWENYE ‘CHAMA’ LAKE JIPYA…
Nahodha
wa zamani wa Liverpool, Steven Gerrard jana amewasili Los Angeles,
Marekani akiwa na mke wake Alex Curran tayari kuanza maisha mpya ya
soka.
Mara
baada ya msimu uliopita kumalizika, Gerrard, 34, aliachana na klabu
yake aliyokulia na kujiunga na LA Galaxy na anatarajia kucheza mechi
yake ya kwanza Julai 11 dhidi ya Club America.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni