HIVI VITUKO SASA….KAMA MANCHESTER IKIFANIKIWA KUWASAJILI WACHEZAJI WALIPO KWENYE TETESI ZAO…BASI KIKOSI CHAO KITAKUA HIVI
Kutokana na tetesi za hapa na pale kwenye usajili kuna mtu mmoja ametengeneza hii picha kwamba kama Manchester ikifanikiwa kuwapata wachezaji wote wanatamani kuwapata kwenye muda huu wa usajili basi hiki ndio kitakua kikosi chao.
Kama kawaida sio wote wanaotajwa kwenye tetesi huwa wanafanikiwa kujiunga, wakati mwingine timu huzidiwa ujanja au mchezaji anaipotezea ofa yao.
Kwenye hii picha jezi nyekundu maana yake tayari yupo Manchester united na wenye jezi ya njano ni labda wapo kwenye tetesi au matamanio ya uongozi au mashabiki wa Manchester united mchezaji huo kujiunga na Red Devil.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni