tecno

tecno

airtel

airtel

.

.

nido

nido

RADIO LISTEN NOW

23 Juni 2015

PICHA : WAKATI WENZAKE WAKO BATANI…VICENT KOMPANY ANAKOMAA GYM KWA AJILI YA MSIMU UJAO

KOMP1
Picha nyingi zinasambaa za wachezaji wakiwa kwenye bata sehemu mbalimbali kama Ibiza, Miami na kwingineko kwenye starehe. Lakini mkali wao Kompany yuko busy gym na kifaa maalum kinaitwa Altitude Simulator.
Kompany ali-post picha kwenye twitter na kuandika NoExcuse Work Hard No Regrets. Wakati wakina Joe Hart wanapiga picha na 50 Cent huyu jamaa anakamua gym. Kwa mujibu wa wataalam wanasema kifaa hicho ni maalum kwa ajili ya kuongeza uwezo wa mwili kufanya perfomance. Inaogeza uwezo wa misuli, inakuongezea speed na inasaidia recovery kama kuna sehemu ulikua haupo sawa.
Sasa msimu ujao tusimshangae huyu jamaa aki-perform vizuri kwasababu anajiandaa vizuri kabisa hivi sasa.
KOMP2

Hakuna maoni: