Norwich
City waliopanda daraja msimu huu wamekubali kumsajili kiungo kutoka
Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Youssouf Mulumbu kwa mkataba wa miaka
miwili.
Mulumbu mwenye umri wa miaka 28 atahamia Norwich Julai 1, wakati mkataba wake na West Brom utakapomalizika.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni