UEFA CHAMPIONZ LIGI-PATA MATOKEO MARUDIANO RAUNDI YA PILI YA MTOANO!
Mechi za hizo za Marudiano za Raundi ya Pili zitakamilika Leo na
Washindi wake watatinga Raundi ya Tatu ya Mtoano ambayo tayari Droo yake
imeshafanyika.
Washindi 15 wa Raundi ya Tatu ya Mtoano watacheza Raundi ya Mchujo,
ambayo wataungana na Manchester United, Valencia CF, Bayer 04
Leverkusen, Sporting Clube de Portugal, na SS Lazio, ili kupata Timu 10
zitakazoingia Hatua ya Makundi ambayo ina Timu 22 ambazo zinaanzia hapo
moja kwa moja wakiwemo Mabingwa FC Barcelona.
UEFA Championz Ligi
Raundi ya Pili ya Mtoano- Marudiano
Jumanne Julai 21
[Kwenye Mabano Jumla ya Mabao kwa Mechi Mbili]
Dila Gori - Georgia 0 FK Partizan - Serbia 2 [0-3]
Pyunik FC - Armenia 1 Molde FK - Norway 0 [1-5]
FC Milsami - Moldova 2 Ludogorets Razgrad - Bulgaria 1 [3-1]
HJK Helsinki - Finland 1 FK Ventspils - Latvia 0 [4-1]
Maccabi Tel Aviv FC - Israel 5 Hibernians FC Paola - Malta 1 [6-3]
FK Vardar - Macedonia 1 Apoel Nicosia - Cyprus 1 [1-1]
Lincoln Red Imps - Gibraltar 0 FC Midtjylland - Denmark 2 [0-3]
Zalgiris Vilnius - Lithuania 0 Malmö FF - Sweden 1 [0-1]
Crusaders FC - Northern Ireland 3 Skenderbeu - Albania 2 [4-6]
Jumatano Julai 22
[Kwenye Mabano Matokeo Mechi ya Kwanza]
14:00 FC Astana - Kazakstan v NK Maribor - Slovenia [0-1]
18:00 Fola Esch - Luxembourg v NK Dinamo Zagreb - Croatia [1-1]
18:30 Steaua Bucurest - Romania v AS Trencin - Slovakia [2-0]
18:30 Videoton Szekesfehervar - Hungary v The New Saints FC - Wales [1-0]
18:45 Dundalk FC - Ireland v FC Bate Borisov - Belarus [1-2]
18:45 Rudar - Montenegro v Qarabag Agdam FK - Azerbaijan [0-0]
18:45 KKS Lech Poznan - Poland v FK Sarajevo - Bosnia/Herzegovina [2-0]
19:15 Stjarnan - Iceland v Celtic - Scotland [0-2]
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni